Warsha ya Mitibiashara

 

Karibu kwenye warsha ya kilimo cha miti ya biashara,

Mahali: Seashells millennium Hotel, (Millennium Towers) Dar es salaam

Kiingilio: BURE

Tafadhali thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 17 Mei 2019 kupitia 0766 210 066/ 0689 164 404.